Monday, August 21, 2023

JE WAJUA KUANZA CHINI NI BORA KULIKO UNAVYO DHANI

 πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“

πŸ’¦JE WAJUA...???πŸ’¦

πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“

πŸ—£️Kama Umemaliza Chuo Upo Tu Mtaani Na Haujui Ufanye Nini Naomba Nikushauri Kitu Kama Hautojali Ila Ujumbe Huu Ni Kwa Watu Wote Ata Wewe Unakufaha Pia...

πŸ§‘‍πŸ«πŸ§‘‍🏫Kabla Ya Kuendelea Na Ushauri Wetu Naomba Chukua Mda Huu Kushare Ili Ujumbe Huu Uwafikie Watu Wengi Na Kama Haujajiunga Na Page Yetu Hakikisha Unabonyeza Hapa πŸ‘‰https://maarifa-media.blogspot.com

Kisha Jiunge Nasi Karibu Sana...

✍️✍️Najua Baada Ya Kumaliza Chuo Na Kujikuta Upo Tu Home Unatamani Kuanza Biashara Yoyote Ilimradi Uweze Kutimiza Malengo Yako Ni Jambo Zuri Hongera Kwa HiloπŸ‘πŸ‘πŸ‘...

✍️✍️Najua Kuna Vitu Vinakukwamisha Kuchukua Maamuzi Ya Kuanza Licha Ya Hofu Ya Kuthubutu Ila Hivi Vitu 3️⃣ Endapo Utaishi Navyo Vitakuchelewesha Sana Kuchukua Maamuzi Sahihi Sasa Tuchambue Hivyo Vitu Hili Uweze Kuepukana Navyo Mapema Kabla Ya Kuendelea Kukutafuna...πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

1️⃣Hauko Tayari Kuanza Chini...

✍️Najua Ulikua Na Ndoto Kubwa Na Shule Ilikua Inakuandaa Kuwa Boss Sasa Baada Ya Kumaliza Bado Unajiona Ni Mtu Wa Hadhi Kubwa Hautaki Kufanya Shughuli Yoyote Huku Ukijifariji Kusubiri Ajira Na Mda Unazidi Kukutupa Mkono...

✍️Najua Wengine Mna Mtaji Wa Kuanza Biashara Ila Unaona Aibu Kuanza Chini Yaani Bado Unamawazo Kama Utaanza Biashara Bhasi Uanze Kwa Ukubwa My Friend Unajichelewesha...

✍️Amka Amka Amka Chukua Maamuzi Maisha Ni Yako Hizo Aibu Hazikusaidii Chochote Toka Kwenye Huo Usingizi Umri Unazidi Kwenda Sitaki Uje Kujilaumu Mbele Ya Safari Ndio Maana Nimeandika Hii Somo Kwaajili Yako Kama Unaona Mazingira Ya Hapo Ulipo Wengi Wanakujua Kwahiyo Hautakua Huru Hamia Ata Mkoa Mwingine Nenda Kapambane Na Sio Kuendelea Kutumia Gharama Kubwa Kuwaaminisha Watu Umefanikiwa Kumbe Bado Unajitafuta...

2️⃣Acha Kujifanya Mjuaji Kubali Kujifunza Ata Kwa Uliowazidi Elimu...

✍️Elimu Yako Isikufanye Uwe Kipofu Kwa Kudharau Wengine Hapo Elimu Yako Itakua Haina Manufaa Na Wewe Tambua Maisha Ya Mtaani Ni Tofauti Na Elimu Ya Darasani Ndio Maana Watu Wanasema Kuna Elimu Ya Kitaa...

✍️Tafuta Maarifa Ukiwa Mtaani Jifunze Kwa Watu Fanya Udadisi Kwa Kutumia Uwezo Ulionao Kisha Tafuta Namna Ya Kutatua Matatizo Ya Mtaani Kupitia Suluhisho Lako Utajikuta Unapata Pesa Kuliko Kuendelea Kujifungia Ndani Na Kuona Watu Wa Mtaani Sio Hadhi Yako...

✍️Zingatia Hili Elimu Yako Itakupa Uwezo Mkubwa Wa Kutambua Vitu Kwa Haraka Ila Thamini Watu Kwasababu Kupitia Watu Ndio Utapata Kitu...

3️⃣Acha Kuishi Kwa Mashindano...

✍️Tunajua Umemaliza Chuo Na Pia Jamii Inajua Ajira Ni Ngumu Kipindi Hiki Bhasi Acha Kuishi Maisha Fake Yaani Unapambana Kuonyesha Watu Kuwa Umefanikiwa Kumbe Upo Kwenye Kujitafuta...

✍️Tafuta Connection Kwa Watu Waliokuzunguka Ishi Na Watu Vizuri Weka Uhalisia Wa Maisha Yako Itakupa Uwepesi Wa Kupata Michongo Ya Kufanya...

✍️Kama Umemaliza Chuo Na Unataka Kushindana Na Watu Ili Uonekane Sio Mnyonge Ndugu Yangu Maisha Ya Maigizo Yatakumalizia Pesa Tu Na Hutachelewa Kufikia Malengo Yako...

πŸ™‡πŸ™‡Tunakupenda Na Tunatamani Ufanikiwe Ndio Maana Tumechukua Mda Huu Kukushauri Chukua Unayoona Yatakufaa Ambayo Unaona Hayana Umuhimu Tuachie...πŸ™‡πŸ™‡

πŸ’ž Mwenyezi Mungu Akufungulie Riziki Kwenye Ugumu Akuwekee Wepesi Na Kwenye Giza Akuwekee Nuru Ya KuπŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“

πŸ’ž Mwenyezi Mungu Akufungulie Riziki Kwenye Ugumu Akuwekee Wepesi Na Kwenye Giza Akuwekee Nuru Ya Kuona....πŸ’ž

πŸ™Kila La Kheri Ndugu πŸ™ona....πŸ’ž

πŸ™Kila La Kheri Ndugu πŸ™

T + F + A = A Mawazo husababisha hisia. hisia husababisha hatua. na hatua husababisha matokeo

0 comments: