Hizi hapa faida za majani ya mpera
Ukitaka nywele zako zikuwe kama kichaa, basi fanya hivi chuma majani ya mpera yachemshe uwe unaoshea nywele zako kila siku nywele zako zitarefuka kwa asilimia 100%.
( ONYO : Maji ya mpera yanakuzisha nywele hadi kupitiliza tumia kistarabu)
- Majani ya mpera ni dawa kwa wale wanaotaka kutoa manyama uzembe yanu uzito, fanya hivi chemsha majani yake kunywa glass 1 (1*3) 200mls ikamulie na limao/ndimu.
(NONYO majani haya huounguza uzito kwa kasi, hivyo tumia kulizingatia diet yako)
Majani ya mpera ukiyasaga na kuyalainisha ukawa unapaka kwenye ngozi
- Huoandoa chunusi sugu + Colgate
- Huondoa miwasho ya ngozi
- Huodoa visundosundo
- Huondoa mabaka meusi kwa ngozi
Ukikausha majani ya mpera ukawa unatumia kwa chai yako daily
- Utakuwa unapunguza LDL
- Kuondosha kabisa cherestol mbaya mwilini hivyo kukufanya uwe na cherestol nzuri HDL
- Hupunguza shida ya ugumba kwa wanaume.
- Huepusha shida ya tezi dume
- Huongeza nguvu za kiume mara ×28
- Husaidia kupanua njia ya mapafu uwezi nzuri wa kupumua
- Kutibu mamumivu ya kifua na mapafu.
- Huzuia maumivu ya tumbo la period (hedhi) au tumbo la kuharisha
- Huzuia sumu kushindwa kufanya kazi kama ipo tumboni
- Husaidia wanaume wengi kupata watoto hasa wenye manii ambayo hayana nguvu ya kuzalisha (kutungisha mimba)
Pia majani yake mabichi huweza kutibu maumivu ya sikio, kukatwa na kisu(panga) fizi kuuma.
Pia majani yake huongeza kinga ya mwili ndani ya masaa 7 pekee.
MUHIMU WA MAJANI YA MPERA (GUAVA LEAVES) KWENYE NYWELE
Majani ya mpera ni mazuri sana kwa ukuaji wa nywele hasa asilia (Natural hair) kwa sababu;
-Yana Vitamin B (Biotin ambayo ni nzuri sana katika ukuaji wa nywele) ya kutosha ambayo ipo pia kwenye brands kubwa za products za nywele; hapa wanainfuse biotin ili kuongeza effciency na effectiveness ya product. Biotin pia inapatikana kama supplement (zinamezwa) hii yote ni kufanya nywele kukua vizuri kwa kupata nutrients za kutosha.
-Yana vitamin C; hii inasaidia sana kwa sababu ni anti-oxidant na pia ni anti inflammatory (kuzuia kuwasha, kuvimba au maumivu in case umeungua na dawa na vinginevyo)
Majani ya mpera yanaweza kutumika kama steaming au leave in conditioner. Leo tutaongelea zaidi kama Leave in Conditioner (kuzipa nywele unyevu tu na ukitumia hauoshi tena).
FAIDA ZA MAJANI YA MPERA KAMA LEAVE IN CONDITIONER
-Yanasaidia kuilinda ngozi dhidi ya maradhi kama mba, fungus na infections nyingine.
-yanasaidia kurudisha rangi nzuri ya nywele (nyeusi) kama nywele ni nyekundu au zina mvi.
-Inasaidia nywele kukua vizuri na kuwa imara
-Inafanya nywele kuwa na afya.
-yanasaidia kuzuia nywele kukatika
-Pia ni gharama nafuu, ya asili kabisa (hayana chemicals) na ni rahisi sana kuyapata ukilinganisha na leave in conditioners za kununua.
JINSI YA KUANDAA
-Chukua majani malaini kama 10 hadi 20
-Weka kwenye sufuria na ongeza maji kidogo (lita moja)
-Funika na acha yachemke vizuri hadi yabadilike rangi kuwa kama chai ya rangi
-Baada ya dakika 5 ipua na uache yapoe.
-Baada ya kupoa weka kwenye spray bottle yako; utakua unazipa unyevu nywele kwa kutumia maji hayo halafu juu unapaka mafuta.
Pia unaweza kuchanganya na mafuta (Black castor oil, jojoba oil, coconut oil au olive oil; any of your choice) ili yaingie vizuri kwenye nywele.
![]() |
MAJANI YA MPERA NA FAIDA ZAKE MWILINI.
1. Chai ya majani ya mpera inaponyesha kifua na kikohozi.
2. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri yanatumika kutibu muwasho uliotokana na mzio (allergy).
3. Pia majani haya ya mpera yakichemshwa kama chai yanaondoa cholesterol iliyozidi mwilini.
4. Chai ya majani ya mpera inapunguza kiwango cha tatizo la sukari mwilini.
5. Chai ya mpera ni dawa nzuri kwa wenye matatizo ya nguvu za kiume.
6. Pia inatumika kama scrub ya uso.
Chukua majani ya mpera saga kisha tia maji kiasi na inasaidia kuondoa uchafu usoni.
7. Pia majani ya mpera yakichemshwa ni dawa ya kuponyesha tumbo la kuhara.
8. Kama umejikata kidogo unaweza kutumia majani ya mpera yalioshwa na kusagwa vizuri kwa kupunguza maumivu na kukulinda na maambukizi ya bakteria.
9. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri yanatumika kutibu eneo la mwili lililong'atwa na mdudu na kupunguza maumivu.
10. Chai ya majani ya mpera inaaminika kuwa ina uwezo wa kutibu tezi dume.
11. Kutokana na kuwa na vitamini C kwa wingi majani ya mpera yana uwezo mkubwa wa kutibu chunusi.
12. Chai ya majani ya mpera inasaidia kupunguza uzito mwilini na kuzuia uharibifu sukari ndani ya mwilini.
13. Majani ya mpera yanajaza nywele na kurefusha nywele kwa watu wenye tatizo la kukatika kwa nywele, unasaga na kuchemsha kisha acha yapoe ndio upake kichwani kutoka chini ya ngozi ya kichwa hadi kwenye ncha ya nywele zako.
14. Ukiwa na tatizo la vidonda kwenye ufizi, maumivu ya jino na ufizi tafuna majani ya mpera na utaona maajabu ya majani haya.
15. Chukua majani ya mpera saga vizuri mpaka yawe laini kabisa ongeza na maji kidogo kisha tumia kupaka usoni kama scrub inatibu ngozi inayoanza kuzeeka mapema.
16. Chai ya mpera inasaidia kwa kutibu mvurugiko wa tumbo.
Pamoja na majani hayo kuwa msaada wa kutibu maradhi mbalimbali , halikadhalika juisi ya mapera nayo husaidia sana kutibu mgolo au bawasiri, figo na hata kuondoa mafuta katika moyo.
Kimsingi mti wa mpera karibu kila sehemu yake ni tiba kwani hata mizizi yake ni dawa
NB: Maji hayo yanaweza kaa hadi wiki ukiweka kwenye fridge, otherwise ni siku mbili tu (maximum).
Pia ili kuona matokeo mazuri ya product yoyote ya nywele au ngozi ni lazima utumie kwa muda mrefu na kwa mpangilio unaotakiwa (consistency).



0 comments: