vital.vitamins.diet
1.Kuongeza nguvu za
kiume: Mihogo ina wingi wa vitamini B na
zinki ambavyo ni muhimu kwa uzalishaji
wa testosterone ambayo ni homoni
muhimu kwa nguvu za kiume na afya ya
uzazi kwa wanaume.
2.Kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo:
Mihogo ina kiwango kikubwa cha nyuzi
ambazo husaidia kupunguza cholesterol
mbaya na hivyo kusaidia kudhibiti shinikizo
la damu na kupunguza hatari ya magonjwa
ya moyo kwa wanaume.
3.Kusaidia afya ya misuli: Mihogo ni
chanzo kizuri cha potasiamu ambayo ni
muhimu kwa afya ya misuli, pamoja na
misuli ya moyo na misuli ya kiuno.
4.Kusaidia mfumo wa kinga: Mihogo ina
kiwango kikubwa cha vitamini C ambayo ni
muhimu kwa kusaidia mfumo wa kinga wa
mwili kupambana na magonjwa na
maradhi.
5.Kupunguza hatari ya ugonjwa wa
kisukari: Mihogo ina kiwango cha juu cha
wanga ambao hupatikana kwa urahisi na
mwili, lakini hupunguza kasi ya kuongezeka
kwa sukari ya damu, hivyo kusaidia
kupunguza hatari ya ugonjwa wa kisukari
kwa wanaume.
MWAUME ONDOA MSONGO WA MAWAZO ili upige show ya Maana*
👉Wanaume wengi hujiona kama wana matatizo kumbe HAPANA, baadhi yetu ni sababu ndogo ndogo za kisaikolojia tu zinapelekea hali hiyo.
👉Moja Kati ya sababu inayowarudisha nyuma wanaume wengi ni Hofu na msongo wa mawazo.
Nakupa njia 4 ili kuondokana na msongo wa mawazo.
Unaweza kujiuliza kuna uhusiano gani kati ya msogo wa mawazo na kumudu tendo?
Jibu ni rahisi👇
Tendo la ndoa huhusisha saikolojia/akili na mwili wako. ukitaka kusimamisha taarifa inapelekwa kwanza kwenye Ubongo Kisha Ubongo utaruhusu Damu ipelekwe kwenye Uume.
Ubongo hutoruhusu chochote kama una hofu au una mawazo mengine.
Kila mmoja wetu ana stress ila ukizitawala hapo ndio unakuwa mfalme.
Stress za kazi, Uchumi, Mapenzi, Familia, masomo, kutojiamini tu -hii inatokana sana na Kuangalia video za mwanaume mwingine akitomba Mwanamke.
Tawala hofu na msongo ili ufurahie sex tena.
1️⃣ Pata muda mwingi wa kulala.
Ukiwa free, usitoke out, usiangalie movies, lala tu hata kama huna usingizi, weka Muziki laini sauti ya Chini laza kichwa chako. Ubongo una tabia ya kurekebisha kila kitu wakati mwili umetulia Sana. Wengi hamjaelewa connection kati ya hospital na vitanda, Wagonjwa wa pressure hulazwa japo kwa Masaa kadhaa kabla hajaruhusiwa.
Unapolala muda mrefu ubongo hurudi kwenye hali ya Kawaida. Lala pumzisha ubongo wako unapokuwa na msongo wa mawazo. Ukiamka utaona stress zimepungua au zimeisha kabisa.
Hata kama ni matatizo ya kuyasuluhisha mwenyewe utapata maamuzi sahihi ya kufanya.
2️⃣ Tatua migogoro inayokusababisha uwe na stress.
kumbuka kabla ya kutatua, hakikisha umepata muda wa kutuliza akili yako na kutoyafikiria hayo matatizo. Ubongo utakupa suluhisho, Njia rahisi ya kutatua changamoto ni kutofikiria changamoto.
Kama mahusiano, kazi, shule haviendi vizuri kwa kuwaza sana hakuna kitakachobadilika ila ni kujiumiza, jipumzishe
Wanaume wengi tunakosea hapa. Tunaruhusu migogoro itupe stress. Hakikisha unashughulikia migogoro kwa kutoshughulika na migogoro.
Mfano Huna laki 5 ya Ada ya Mwanao, Usifikirie kuhusu Ada fikiria natakiwa kupata Hela nyingi na kuendelea kutafuta hela kama anavyofanya siku zote.
kumbuka matatizo hayajawahi kuisha.
3️⃣ Jifunze kanuni ya ku-relax.
Itakusaidia kupunguza au kuondoa masongo wa mawazo kwa haraka zaidi.
👉 Mazoezi
👉Kuangalia mpira
👉kusoma maandiko
👉Kusali
👉Kuimba
👉Hudhurisha ibada
👉kukaa sehemu yenye utulivu
👉kuangalia video za vichekesho
👉Mwambie rafiki yako mnayeelewana
👉 Tembea barabarani usiku
4️⃣ Omba Ushauri
Kwa baadhi ya matatizo unaweza kufanya jitihada zote na ikashindikana, Lazima kuomba msaada wa Mawazo.
👉Watu wenye Elimu na hekima, usiangalie umri
👉Mshauri wa ndoa na mahusiano
👉Mwanasaikolojia
👉Rafiki yako wa karibu
👉Kiongozi wako wa dini
👉Mtu yeyote unayemuona ana busara.
Napendekeza; Omba Ushauri kwa Jinsi ya KIUME.
Ni muhimu kufanya hivyo inapobidi, Kukaa na kitu moyoni na ubongo ukishindwa kuvumilia husababisha...
👉kiharusi
👉Mshtuko wa moyo
👉 Shinikizo la damu
JINSI YA KUJIKINGA NA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME.
-Fanya Mazoezi mara kwa mara
-Balansi uzito wako
-Acha pombe na kuvuta sigara
-Usitumie dawa zenye kemikali nyingi
-Tibu magonjwa hatarini kama presha, sukari, vidonda vya tumbo, bawasili na ngiri
-Kula vyakula asilia
Sasa unaweza una weza kufurahia


0 comments: