ππππππππ
π¦JE WAJUA...???π¦
ππππππππ
π£️Nakupa Siri Moja Muhimu Sana Kwenye Safari Yako Ya Utafutaji Yaah Hii Siri Endapo Utaifanyia Kazi Basi Asilimia Za Kufanikisha Mambo Yako Ni π― Hii Siri Haina Mbambamba Kabisa...
π§✈️π§✈️Ukitazama Picha Utaona Vijana Wa Jeshi La Kujenga Taifa(JKT) Unaweza Ukawa Unajiuliza Hii Picha Inahusiano Gani Na Mada Ya Leo Basi Kaa Kwa Kutulia Ndani Ya Muda Mfupi Ujao Utanielewa Kwanini Nimeiweka Hiyo Picha...
π§✈️π§✈️Natumaini Uwenda Wewe Unayesoma Huu Ujumbe Muda Huu Ushawahi Kupitia JKT Labda Ulienda Kama Kwamujibu Yaani Wale Waliomaliza Form Six Au Ulienda Kama Wakujitolea Ikiwa Na Maana Ni Wale Waliopitia Mchakato Wa Usahili Mikoani Hadi Kupata Hiyo Nafasi Au Ulishawahi Kusikia Story Za JKT Na Haujawahi Kwenda Bhasi Leo Tunazungumza Na Watu Wote Naamini Tutaelewana Tu...
π§✈️π§✈️Katika Sehemu Ambayo Wakiweka Malengo Yao Bhasi Lazima Yatimie Kwa Namna Yoyote Ile Ni JKT Yaani Hawa Jamaa Wako Seriously Sana Hawanaga Kubembeleza Mtu Uwe Unataka Au Hautaki Uwe Umechoka Au Unauvivu Utafanya Kazi Tu Kama Hautaki Ni Bora Urudi Kwenu Ila Sio Kukwamisha Kazi Zao...
π§✈️π§✈️Mtu Yoyote Aliyeenda JKT Atakama Alikua Hajui Kufanya Kazi Yaani Umetoka Kwenu Mboga 7️⃣ Ila Ukishatua JKT Utanyooka Tu Kazi Zote Utajua Sio Kulima Sio Kusafisha Mashamba Sio Kuhudumia Bustani N.K...
✍️✍️Sasa Siri Ambayo Leo Nitakujuza Ni Kwanini Wao Wakiweka Malengo Yao Lazima Yatimie Ila Wewe Ukiweka Malengo Yako Kutimia Huwa Ni Ngumu...
✍️✍️Nitakutajia Mbinu Wanazozitumia Na Endapo Mbinu Hizi Ukizitumia Katika Harakati Zako Za Utafutaji Mabadiliko Lazima Utayaona Kwa Kiasi Kikubwa Sana...
1️⃣ WANAFANYA VITU VYAO KWA MALENGO...
π§✈️π§✈️Siri Kubwa Wanayoitumia Watu Wa JKT Kutimiza Miradi Yao Haijalishi Ni Mikubwa Kiasi Gani Huwa Wanafanya Vitu Vyao Kwa Malengo (Target π―) Yaani Ukishatua JKT Lazima Kabla Ya Kuanza Kazi Mnajua Kabisa Lengo La Kazi Yenu Ni Lipi...??? Kama Ni Kusafisha Shamba Au Kulima Au Kuandaa Bustani Yaani Utajua Kwanza Kazi Yenu Inaishia Wapi Ili Kila Mmoja Ajue Yupo Pale Kwaajili Ya Kazi Gani Kwahiyo Katika Safari Yako Ya Upambanaji Hakikisha Unakua Na Malengo Na Unajua Unapambania Kitu Gani Hii Itakupa Mabadiliko Ni Tofauti Na Kuishi Bila Lengo Yaani We Upo Upo Tu...
2️⃣WANAUSIMAMIZI WA KINA KATIKA KAZI ZAO...
π§✈️π§✈️Bhana Bhana Ukiwa JKT Usitegemee Ipo Siku Utadanganya Sijui Unaumwa Au Sijui Utatoroka Kazi Zao ππ Kule Kuna Usimamizi Asilimia π― Yaani Mtakua Watu Wengi Ila Kila Mmoja Lazima Awepo Sehemu Anayotakiwa Kwenye Hili Ata Mkiwa Watu Elfu 2️⃣ Sijui Elfu 3️⃣ Hauwezi Kutoroka(Kudoji) Kutokana Na Usimamizi Wao Kuwa Mkubwa Bhasi Yale Wanayoyapanga Huwa Yanatimia Kwahiyo Kama Na Wewe Unataka Kufanikiwa Hakikisha Unasimamia Vitu Vyako Kwa Kina Acha Uvivu Hakikisha Pale Unapotakiwa Kuwepo Uwepo Acha Kusimamia Miradi Yako Kwa Simu π± Uvivu Wako Ndio Unasababisha Vitu Vingi Kutokwenda Sawa...
3️⃣ UTAFANYA KAZI KATIKA HALI YOYOTE ILE IWE JUA IWE MVUA...
π§✈️π§✈️Kuna Ile Kawaida Ya Kudeka Yaani Ukiwa Unapambana Peke Yako Unajiamulia Tu Leo Sifanyi Kazi Sijui Leo Nimechoka Au Sijui Nitafanya Baadae Au Sio Lazima Kumaliza Kwasasa Yaani Unajipa Excuse Ambazo Muda Mwingine Hazina Maana Bhasi Tu Kwakua Wewe Ndio Boss Sasa Maisha Ya JKT Hayana Hiyo Wao Wakiwa Na Lengo Lao Haijalishi Umechoka Sijui Haujisikii Kufanya Kazi Sijui Mwili Unahisi Hauko Sawa Wao Iwe Jua Iwe Mvua Utafanya Kazi Ili Lengo Litimie Hakuna Kubembelezana Yaani Kwenye Hili Kama Hauamini We Nenda Utakuja Kutoa Ushuhuda Kwahiyo Ndio Maana Huwa Wanafanikiwa Na Wewe Unatakiwa Kwenye Harakati Zako Acha Kujipa Visingizio Hakikisha Unapambana Bila Kuchoka...
4️⃣ WANAZINGATIA MUDA KULIKO KAWAIDA...
π§✈️π§✈️Hakuna Sehemu Ambayo Wanazingatia Muda Kama Jeshini Yaani JKT Muda Wote Unazingatiwa Utakua Sehemu Husika Kulingana Na Ratiba Yao Kama Ni Muda Wa Shamba Bhasi Watu Wote Watakuwepo Shamba Kama Ni Muda Wa Chakula Bhasi Watu Wote Watakuwepo Kwenye Chakula Kwahiyo Kuishi Kwa Kuzingatia Na Kuthamini Muda Ni Njia Moja Wapo Ya Kukufanya Ufanikishe Mambo Yako...
5️⃣MWISHO KABISA WANAISHI KWA RATIBA (TIME TABLE)...
π§✈️π§✈️Maisha Ya JKT Yamefungamana Na Ratiba Muda Wote Yaani Ukiwa Kule Tambua Muda Fulani Natakiwa Kuwa Sehemu Fulani Tunaweza Sema Ni Ratiba Ya Siku Nzima Kuanzia Muda Wa Kuamka Hadi Muda Wa Kulala Kwahiyo Mafanikio Siku Zote Yanatengenezwa Na Siku Yako Umeitumia Vipi Haijalishi Unamalengo Ya Miaka 5️⃣ Kama Siku Inapitia Bila Nidhamu Hakuna Hatua Utakayopiga Mafanikio Yaanza Na Siku Yako Unavyoitumia Kwahiyo Kama Unataka Kufanikiwa Hakikisha Siku Yako Unaitumia Na Kuifanyia Kazi Ili Ufikie Malengo Yako Ila Kama Unaishi Kama Kunguru Wewe Ni Kuamka Kuzurura Na Baadae Kurudi Kwenye Kiota Sahau Kufikia Malengo Yako...
✍️✍️Mtafute Mtu Aliyepitia JKT Muulize Kuhusu Haya Yote Niliyoyaeleza Atakuambia Yanaukweli π― Ila Sasa Watu Wakishapitia Maisha Ya JKT Wanashindwa Kuchukua Yale Mafunzo Waliyoyapata Na Kuyafanyia Kazi Katika Harakati Zako Kwasababu Wanatoka Na Hisia Kuwa Walikua Kwenye Mateso Na Sio Kujifunza Maisha...
✍️✍️Nakushauri Hakuna Mafanikio Mepesi Ukiona Mtu Kafanikiwa Kwa Jambo Lolote Jua Kuna Mpito Usio Wa Kawaida Kaupitia Kwahiyo Tukubali Kuumia Kwaajili Kesho Yetu Iwe Bora Zaidi...
π Hongera Sana Naamini Sasa Umeshajua π